News & Updates
Na Peter Mbelembe 3.Tambua nafasi ya neema na jenga tabia ya kuomba neema juu yako juu ya mambo uyaombeayo. Maana ya neema ni ule upendeleo wa pekee aupatao mwanadamu kwa Mungu wa kufanikishwa mambo yake hata kama hakustahili kisheria.mfano...
Na Peter Mbelembe 2.Tambua nafasi ya kukesha juu ya hilo uliombealo(praying constantly without ceasing). Yaani hapa si suala la kukaa usiku mzima bila kulala na ukasema nimekesha yaweza kuwa kweli kwa baadhi ya watu ila kwa wengine ikawa ni...
Na Peter Mbelembe Neno MAOMBI ni neno maarufu sana maeneo mengi na kwa watu wengi hasa baadhi wakiwa wanapitia magumu au wengine kwa hiyari yao tu wakifanya mawasiliano na Mungu wetu aliyepo ila haonekani kwa macho ya nyama ili...
Tafes Arusha Calender 2015/20162015 October 16 WORLD STUDENTS DAY KISONGO November 2-17 Tafes Awareness Week CAMPUSES 7 NSEC meeting MWANZA 14 RSEC meeting NCT 27 Praise and Worship Overnight ELERAI December 6-8 Regional Evangelism Training Campain CAMPUSES 12-31...
Calling is a vocation. It is the identity of a person for everyone was called to perform a certain task in the world. Everyone has gifts and talents in him or her but the spirit is one. (1 Corinthians...
Integrity Integrity is the quality of having strong moral principles. It is the condition of being unified or sound in construction. It is the ability of following the moral principles no matter the circumstances facing you where you are...